Posted on: February 6th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri kwa mwaka wafedha 2023/2024 imenunua vishikwambi (Tablets) 24 kwa Waheshimiwa Madiwani na vishikwambi (tablets) 18 za Menejiment...
Posted on: December 12th, 2023
Mafunzo ya kuajiri kwa mfumo wa Ki-elektroniki wa Ajira Portal
Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli wakipatiwa mafunzo namna ya kuajiri. Mafunzo haya yamefanyika katika Manispaa ...
Posted on: September 25th, 2023
Semina ya usalama mahala pa kazi kwa maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Vijiji pamoja na Wenyeviti wa vijiji imefanyika kwa lengo la kuimarisha usalama na amani kwa wananchi na mali zao.
...