Mafunzo ya kuajiri kwa mfumo wa Ki-elektroniki wa Ajira Portal
Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli wakipatiwa mafunzo namna ya kuajiri
mafunzo haya yamefanyika katika Manispaa ya Morogoro katika Ukumbi wa Dar to Dom
awamu ya tatu kuanzia tarehe 09 hadi 12 Disemba, 2023
mafunzo haya yataleta tija na manufaa makubwa katika mchakato mzima wa ajira na faida zake
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.