senima ya usalama mahala pa kazi kwa maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Vijiji pamoja na wenyeviti wa vijiji imefanyika kwa lengo la kuimarisha usalamana Amani kwa wananchi na mali zao.
wataalam wawezeshaji wa semina hiyo walitoka Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto, Uhamiaji, Usalama pamoja na Takukuru.
mada zilizojadiliwa ni pamoja na usalama wa raia na mali zao, kupinga rushwa, maadili, suala la utawala bora uhamiaji haramu, ukatili wa kijinsianna uokozi wa mali dhidi ya majanga mbalimbali pamoja na mada ya Uzalendo
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.