• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli
Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Mahesabu
      • Maendeleo ya Jamii na Huduma ya Lishe
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Mahesabu
    • Kata
      • BAGA
      • BUMBULI
      • DULE B
      • KISIWANI
      • KWEMKOMOLE
      • MAHEZANGULU
      • MAMBA
      • MAYO
      • MGWASHI
      • MILINGANO
      • MPONDE
      • NKONGOI
      • SONI
      • TAMOTA
      • USAMBARA
      • VUGA
      • KWEMAKONKO
      • MBUZII
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Utalii
    • Viwanda
    • Biashara
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma
    • Ushauri katika Kilimo
    • Ushauri katika Mifugo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali na Utoaji Mikopo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Vitega Uchumi vya Halmashauri
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Makala
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Idara ya Viwanda na Biashara

Lengo

Kuweka mazingira mazuri ya biashara kwa maendeleo ya viwanda, biashara, masoko na uwekezaji. Majukumu ya Idara hii ni kama ifuatavyo:-

  1. Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu zinazohusiana na viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  2. Kukuza viwanda, biashara, masoko na uwekezaji katika Halmashauri;
  3. Kupanga na kuendeleza maeneo ya viwanda na hifadhi kwa kushirikiana na wadau wengine wakuu;
  4. Kupanga vivutio vya viwanda, biashara, masoko na kukuza uwekezaji;
  5. Kukuza maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati (SMEs);
  6. Kuendeleza mapendekezo na miradi ya uwekezaji;
  7. Kuendeleza hatua za maendeleo ya sekta binafsi;
  8. Kuanzisha na kusimamia kanzidata ya viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  9. Kusimamia usimamizi wa kituo kimoja cha biashara;
  10. Kufanya utafiti wa kukuza uwekezaji;
  11. Kuratibu Jukwaa la Biashara;
  12. Kusimamia shughuli za minada na masoko katika Halmashauri;
  13. Kutekeleza Mkakati wa Maendeleo ya Biashara kwa wafanyabiashara wadogo na watoa huduma; na
  14. Kuweka Mazingira bora ya Biashara na uwekezaji ili kukuza Biashara na Uwekezaji.

Idara hii itaongozwa na Mkuu na itajumuisha Sehemu mbili (2) kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji; na
  2. Sehemu ya Biashara na Masoko.


Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za sekta ya viwanda na uwekezaji;
  2. Kukuza na kuratibu utekelezaji wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi;
  3. Kutenga, kuendeleza na kufuatilia maeneo ya viwanda na hifadhi;
  4. Kutoa ushauri kuhusu uboreshaji wa sera za Viwanda na kuratibu mikutano ya kisekta;
  5. Kukuza uzalishaji wa malighafi mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya viwandani;
  6. Kutayarisha na kutunza rejista za viwanda na vitega uchumi;
  7. Kupanga na kukadiria ushuru kwa viwanda vidogo;
  8. Kuendeleza na kupitia upya wasifu wa uwekezaji;
  9. Kukuza uwekezaji wa sekta binafsi;
  10. Kuratibu na kutoa ushauri kwa wawekezaji; na
  11. Kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


Sehemu ya Biashara na Masoko

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo; -

  1. Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za biashara na masoko;
  2. Kutoa ujuzi wa ujasiriamali kwa jumuiya ya wafanyabiashara;
  3. Kuratibu na kutoa ushauri kuhusu shughuli za usajili wa biashara;
  4. Kuchambua taarifa za biashara na masoko na ushauri ipasavyo;
  5. Kuratibu kongamano la Baraza la Biashara la Wilaya;
  6. Kukuza ubia wa sekta binafsi ya umma;
  7. Kusimamia shughuli za minada na masoko katika Halmashauri; na
  8. Kukusanya na kusambaza taarifa za masoko ya bidhaa na huduma kwa wahusika;
  9. Kutekeleza mkakati wa kukuza biashara kwa wachuuzi wadogo na watoa huduma za biashara ndogo ndogo; na
  10. Kuweka mazingira bora ya biashara.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

Matangazo

  • No records found
  • View All

Habari Mpya

  • Wasiliana na jukwaa la Vijana

    January 28, 2026
  • NMB makao makuu wakutana na timu ya Bumbuli

    October 25, 2025
  • UFUNGUZI WA UGAWAJI WA MIKOPO YA 10%

    September 01, 2025
  • MAFUNZO KWA WATAALAMA WA MIFUGO

    May 30, 2025
  • View All

Picha Jongefu

MFUMO WA MIKOPO YA 10% - NAMNA YA KUJISAJILI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • FURSA ZA KILIMO CHA CHAI
  • USHAURI KATIKA MASUALA YA KILIMO
  • FURSA KATIKA MASUALA YA MIFUGO
  • FOMU YA MAOMBI MBALIMBALI
  • ELIMU YA UJASIRIAMALI NA UTOAJI WA MIKOPO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

Wasiliana Nasi

    02 KITONGOJI CHA UGUNGA

    Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI

    Telephone: 0272977530

    Mobile:

    Email: ded@bumbuklidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.