Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli anaitwa Mhe. Amiri Abdallah Sheiza
Kila mwananchi wa Bumbuli anayo haki ya kusikilizwa na kupatiwa majibu ya suala lake na Mwenyekiti wa Halmashauri. Hivyo upo utaratibu wa kuona wananchi na kuwasikiliza kwa siku mbili kila wiki.
Ili uweze kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli unatakiwa ufike ofisi za Halmashauri zilizokoKata ya Dule B, Kijiji cha Kwehangala, Kijongoji cha Dai siku ya JUMANNE na ALHAMISI kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.