Ndg.. Baraka Michael Zikatimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri
Wasifu
MAFUNZO KWA WAKAGUZI NA WACHUNAJI NGOZI ZA WANYAMA
Wakaguzi na wachunaji wa ngozi za wanyama wamepatiwa mafunzo ya namna bora na sahihi ya ukaguzi na uchunaji wa ngozi wa wanya ili kuipa thamani ngozi kwa matumizi ya bidhaa mbalimbali na kuongeza thamani ya zao hilo.
Lengo la mafunzo hayo ni kuboresha na kuongeza mnyororo wa thamani ya zao hilo. Mafunzo hayo wametolewa tarehe 29.05.2025 katika ofisi za Jiji la Tanga ambapo Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Uchumi na Uzalishaji katika Sekretariet ya Mkoa wa Tanga Bw. George Mmbaga aliongoza mafunzo hayo ambayo yalishirikisha wataalam kutoka Jiji la Tanga na Mkoa wa Kilimanjaro.
Posted on: May 30th, 2025
MAFUNZO KWA WAKAGUZI NA WACHUNAJI NGOZI ZA MIFUGO
Wakaguzi na wachunaji wa ngozi za wanyama wamepatiwa mafunzo ya namna bora na sahihi ya ukaguzi na uchunaji wa ngozi wa wany...