Msimamizi wa Uchaguzi 2025 jimbo la Bumbuli Ndg Mulsary A. Lukindo aliwaasa wasimamizi wavituo na wasimamizi wasaidizi wa vituo katika jimbo la Bumbuli kuzingatia sheria za Uchaguzi mkuu wa 2025 na mafunzo yaliyotolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili 26 na 27 Oktoba 2025, waliyopatiwa katika vituo vinne tofauti katika jimbo la Bumbuli. Aliwahimiza kutambua jukumu kubwa la Kitaifa lililo mbele yao tarehe 29 Oktoba 2025.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.