Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wotewalioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe {09/09/2025-10/09/2025} hatimayekuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usailiwanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- .. Kuitwa kwenye usaili1.pdf