Timu ya Halmashauri inayoshughulikia mikopo ya 10% kwa wanawake, vijana na walemavu wamekutana na timu ya wataalam kutoka NMB makao makuu, kujadili changamoto zinazotokana na utoaji wa mikopo hiyo kupitia benki yao na kuweka mikakati ya pamoja kutatua changamoto zote zilizojitokeza.
Baada ya kikao kazi chao cha pamoja siku ya alhamisi 24.10.2025 walikutana na kufanya mazungumzo ya pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bumbuli.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.