Wednesday 30th, April 2025
@
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Bw. Mulsary Lukindo amewataka wanchi wa Bumbuli kujitokeza kwa wingi katika kupata msaada huduma za kisheria ambazo zitatolewa na MSLAC kwa muda wa siku 7 katika vijiji vyote.
Lengo la Kampeni hii ya MSLAC ni kusaidia kutoa elimu kwa wananchi juu ya masuala Ukatili wa Kijinsia, Ukatili dhidi ya Watoto, Ukatili wa Masuala ya ndoa, Kesi za Ardhi ili kuwajengea uwezo wananchi wa namna ya kutokomeza ukatili na kuondoa migogoro ya Ardhi iliyopo.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.