Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameendesha warsha ya siku moja tarehe 25.07.2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Makao Makuu iliyopo eneo la Kwehangala
wadau walioshirikishwa ni Sekta ya Elimu, Afya, Manunuzi, Fedha, Biashara, Ukaguzi wa ndani na Utawala
lengo la warsha hiyo ni kuwapatia elimu juu ya matumizi sahihi ya mifumo ya ukusanyaji mapato na kukusanya kodi la zuio (Withholding Tax)
ili kusaidia serikali kukusanya mapato yake, kuzuia mianya ya rushwa, utoroshwaji wa mapato na kushauri njia sahihi ya kudhibiti.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.