Walimu wa masomo ya Sayansi pamoja na wataalamu wa Maabara wakipeana uzoefu juu ya kuandaa mafunzo kwa vitendo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Bumbuli mnamo tarehe 29 Julai, 2021
Kikao kazi hicho kiliongozwa na Afisa Elimu Sekondari ambapo alisisitiza uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu mbalimbali kwa Walimu hao katika usimamizi na utekelzaji wa mipango mbalimbali ya elimu hususani eneo la sayansi na maabara.
Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.