Wananchi/wadau/watumishi wote ambao wanapokea huduma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli wanaweza kutoa malalamiko/pongezi/maulizo/mapendekezo ya kuboresha huduma hizo kupitia mfumo kuanzia ngazi ya ofisi za Kata hadi ofisi ya Makao Makuu ya Halmashauri.
Malalamiko/pongezi/maulizo/mapendekezo hayo yanaweza kuwasilishwa popote pale ndani na nje ya nchi kwa kutumia huduma ya intaneti kwa kupitia mfumo wa malalamiko kubonyeza sehemu iliyoandikwa Malalamiko.
02 KITONGOJI CHA UGUNGA
Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI
Telephone: 0272977530
Mobile:
Email: ded@bumbuklidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.